“Ntampata Wapi” - Diamond Platnumz

Ntampata Wapi - Diamond Platnumz

➧Diamond Platnumz


Plays : 354,505
Downloads : 563,127
Album (All Songs) :

Like us on Facebook:

“Ntampata Wapi” Lyrics

sura yake mtaratibu… mwenye Macho ya aibu,

kumsahau najaribu ila namkumbuka sanaa…

.umbo lake mahbib,. kwenye maradhi aliye nitibu,

siri yang kaharibu bado namkumbuka sanaaa……

CHORUS….

.aliye nifanya silali…jua kali nitafute tukale… lakini-(ila) hata kujali ,darln, akatekwa na wale”x2…..

“ntampata wapi kama yule niliye mpendaga sana… ntampata wapi kama yule anipende sana”x2……….

ai nyotaaa nyota ndo tatizo langu, nyotaa mpaka nalia peke yangu…

ai nyotaaa nyota ndo shida yangu, nyota wamenizidi wenzangu…

alidanganywa na wale… wenye mapesa nyumba gari mi kapuku akunijali akanikimbia,

alidanganywa na wale wamapesa nyumba gari mie ungaunga akunijali akanikimbia…

aliye nifanya silali, jua kali nitafute tukale lakini hata akujali darln akatekwa na wale”x2…..nitampata wapi kama Yule niliye mpendaga sana nitampata wapi kama yule aliye nipenda sana”x2..

.bado ananijia ndotoni… ila nikiamka simwoni.. bado ananijia nikilala haki ya mungu sio masihara,

bado ananijia ndotoni nikiamka simwoni bado ananijia nikilala haki ya mungu sio masihara…

Hii ni Sauti Ya Rais..Ilomshindaga Ibilisi..kwa wanadamu sio Rahisi…

Kamwambie..aaa…Lazima Ujue kutofautisha…aaa…kati ya Msalaba na Jumulisha..aaa

Kuna X na Kuzidisha….

bado ananijia nikilala haki ya mungu sio masihara.!!!!

End!!